*TAARIFA YA MSIBA, WA JUDITH CHIKAKA

*TAARIFA YA MSIBA, WA JUDITH CHIKAKA

sufianimafoto.blogspot.com

*SIMANZI KUBWA; JUDITH CHIKAKA AWALIZA CHUO KIKUU CHA ARDHI, WAFANYAKAZI WENZAKE WIZARA YA ARDHI, WANA CCM TEMEKE, CHAMA CHA WANARIADHA TANZANIA, MUMEWE ERASTO MAPUNDA NA WANAMICHEZO KWA UJUMLA.. Marehemu Judith Chikaka alifariki siku ya Jumapili ya tarehe 13/01/2012 katika Hospitali ya Mwananyamala wakati alipofikishwa hapo kwa ajili ya kujifungua, kwa bahati mbaya na mapenzi yake muumba alifariki kabla ya kujifungua.

robert mgulunde|1 month ago

Hii ndio nyuma ya milele ya marehemu Judith Chikaka Mapunda. Marehemu Judith alizikwa jana katika makaburi ya Kibada maeneo ya Kigamboni, ameacha Mume na Mtoto mmoja. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEME MAHALI PEMA PEPONI. AMIN.

Keny2|1 month ago

Marehemu Judith Chikaka alifariki siku ya Jumapili ya tarehe 13/01/2012 katika Hospitali ya Mwananyamala wakati alipofikishwa hapo kwa ajili ya kujifungua, kwa bahati mbaya na mapenzi yake muumba alifariki kabla ya kujifungua

rebeca|1 month ago

*SIMANZI KUBWA; JUDITH CHIKAKA AWALIZA CHUO KIKUU CHA ARDHI, WAFANYAKAZI WENZAKE WIZARA YA ARDHI, WANA CCM TEMEKE, CHAMA CHA WANARIADHA TANZANIA, MUMEWE ERASTO MAPUNDA NA WANAMICHEZO KWA UJUMLA.. Marehemu Judith Chikaka alifariki siku ya Jumapili ya tarehe 13/01/2012 katika Hospitali ya Mwananyamala wakati alipofikishwa hapo kwa ajili ya kujifungua, kwa bahati mbaya na mapenzi yake muumba alifariki kabla ya kujifungua.

1 people like this